TANGAZO LA KUJIUNGA NA CHUO

TANGAZO LA KUJIUNGA NA MASOMO KWA MWAKA WA MASOMO 2019/20

Mkurugenzi wa Chuo Cha Kilimo Kizimbani Zanzibar anawatangazia wananchi wote nafasi za kujiunga na Chuo kwa kozi mbali mbali kwa ngazi ya Astashahada na Stashahada. Wale wote ambao wako tayari kujiunga na chuo, form zinapatikana Chuoni Kizimbani ama watembelee tovuti yetu www.kati.ac.tz, kwa upande wa Pemba wafike Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Weni-Wete.

tarehe ya mwisho ya kurejesha form ni tarehe 31 May, 2019.

Ahsanteni

Download Admission Application Form 2019/20

Kwa maelezo zaidi fika Chuo cha Kilimo Kizimbani au wasiliana nasi kwa email info@kati.ac.tz au simu namba +255 (0) 77 741 8734

Ahsanteni